Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 4:50 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

50 Yesu akamwambia, Shika njia yako: mwana wako yu hayi. Mtu yule akaliamini lile neno aliloambiwa na Yesu, akashika njia.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

50 Yesu akamwambia, “Nenda tu, mwanao ataishi.” Huyo mtu akaamini maneno ya Yesu, akaenda zake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

50 Yesu akamwambia, “Nenda tu, mwanao ataishi.” Huyo mtu akaamini maneno ya Yesu, akaenda zake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

50 Yesu akamwambia, “Nenda tu, mwanao ataishi.” Huyo mtu akaamini maneno ya Yesu, akaenda zake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

50 Isa akamjibu, “Nenda zako, mwanao yu hai.” Yule afisa akaamini yale maneno Isa aliyomwambia, akaenda zake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

50 Isa akamjibu, “Enenda zako, mwanao yu hai.” Yule afisa akaamini yale maneno Isa aliyomwambia, akaondoka akaenda zake.

Tazama sura Nakili




Yohana 4:50
12 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akamwambia akida, Nenda zako: na kadiri ulivyoamini upate. Mtumishi wake akapona saa ileile.


Alipowaona, akawaambia, Enendeni, mkajionyeshe kwa makuhani. Ikawa katika kwenda kwao wakatakasika.


Yesu akamwambia, Sikukuambia ya kwamba ukiamini utauona utukufu wa Mungu? Bassi wakaliondoa lile jiwe.


Yule diwani akamwambia, Bwana, shuka kabla hajafa mtoto wangu.


Hatta alipokuwa akishuka, watumishi wake wakamlaki, wakampasha khabari, wakisema ya kama, Mtoto wako yu hayi.


akihesabu ya kuwa Mungu aweza kumfufua kutoka kuzimu; akampata tena toka huko kwa mfano.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo