Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 4:47 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

47 Huyu aliposikia ya kwamba Yesu amekuja kutoka Yahudi hatta Galilaya, akamwendea, akamsihi ashuke akamponye mwana wake; kwa maana alikuwa kufani.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

47 Basi, huyo ofisa aliposikia kuwa Yesu alikuwa ametoka Yudea na kufika Galilaya, alimwendea akamwomba aende kumponya mtoto wake aliyekuwa mgonjwa mahututi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

47 Basi, huyo ofisa aliposikia kuwa Yesu alikuwa ametoka Yudea na kufika Galilaya, alimwendea akamwomba aende kumponya mtoto wake aliyekuwa mgonjwa mahututi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

47 Basi, huyo ofisa aliposikia kuwa Yesu alikuwa ametoka Yudea na kufika Galilaya, alimwendea akamwomba aende kumponya mtoto wake aliyekuwa mgonjwa mahututi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

47 Huyo mtu aliposikia kwamba Isa alikuwa amewasili Galilaya kutoka Yudea, alimwendea na kumsihi aende akamponye mwanawe, aliyekuwa mgonjwa karibu ya kufa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

47 Huyo mtu aliposikia kwamba Isa alikuwa amewasili Galilaya kutoka Uyahudi, alimwendea na kumwomba ili aje kumponya mwanawe, aliyekuwa mgonjwa karibu ya kufa.

Tazama sura Nakili




Yohana 4:47
12 Marejeleo ya Msalaba  

ALIPOZALIWA Yesu katika Bethlehemu ya Yahudi zamani za mfalme Herode, majusi wa mashariki walifika Yerusalemi,


Aliposikia ya kwamba ni Yesu Mnazareti, akaanza kupaaza sauti yake, na kusema, Mwana wa Daud, Yesu, unirehemu.


Na tazama, mtu mmoja jina lake Yairo akamjia: nae alikuwa mkuu wa sunagogi: akaanguka miguuni pa Yesu, akamsihi aingie nyumbani mwake:


Bassi Martha akamwambia Yesu, Bwana, kama ungalikuwapo hapa, ndugu yangu asingalikufa.


Bassi Mariamu, alipofika pale alipokuwapo Yesu, akamwona, akaanguka miguuni pake, akamwambia, Bwana, kama ungaliwapo hapa, ndugu yangu asingalikufa.


akaacha Yahudi akaenda zake Galilaya marra ya pili.


Na hii ni isharaya pili aliyoifanya Yesu, alipotoka Yahudi kwenda Galilaya.


Na kwa kuwa Ludda ulikuwa karibu na Yoppa, nao wamesikia ya kwamha Petro yuko huko, wakatuma watu wawili kwake, kumsihi asikawie kuja kwao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo