Yohana 4:25 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192125 Yule mwanamke akamwambia, Najua ya kuwa yuaja Masihi (aitwae Kristo). Atakapokuja yeye, atatufunulia yote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Huyo mama akamwambia, “Najua kwamba Masiha, aitwaye Kristo, anakuja. Atakapokuja atatujulisha kila kitu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Huyo mama akamwambia, “Najua kwamba Masiha, aitwaye Kristo, anakuja. Atakapokuja atatujulisha kila kitu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Huyo mama akamwambia, “Najua kwamba Masiha, aitwaye Kristo, anakuja. Atakapokuja atatujulisha kila kitu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Yule mwanamke akamwambia, “Ninafahamu kwamba Al-Masihi” (yaani Aliyetiwa mafuta) “anakuja. Yeye akija, atatueleza mambo yote.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Yule mwanamke akamwambia, “Ninafahamu kwamba Masiya (aitwaye Al-Masihi) anakuja. Yeye akija, atatueleza mambo yote.” Tazama sura |