Yohana 4:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19212 (lakini Yesu mwenyewe hakuhatiza, hali wanafunzi wake), Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 (Lakini ukweli ni kwamba Yesu hakuwa anabatiza ila wanafunzi wake.) Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 (Lakini ukweli ni kwamba Yesu hakuwa anabatiza ila wanafunzi wake.) Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 (Lakini ukweli ni kwamba Yesu hakuwa anabatiza ila wanafunzi wake.) Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 ingawa kwa kweli si Isa mwenyewe aliyekuwa akibatiza, ila ni wanafunzi wake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 ingawa kwa kweli si Isa mwenyewe aliyekuwa akibatiza, ila ni wanafunzi wake. Tazama sura |