Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 4:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

18 kwa maana umekuwa na waume watano, na yeye uliye nae sasa siye mume wako; hapo umesema kweli.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Maana umekuwa na waume watano, na huyo unayeishi naye sasa si mume wako. Hapo umesema kweli.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Maana umekuwa na waume watano, na huyo unayeishi naye sasa si mume wako. Hapo umesema kweli.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Maana umekuwa na waume watano, na huyo unayeishi naye sasa si mume wako. Hapo umesema kweli.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Kwa maana umeshakuwa na wanaume watano, na mwanaume unayeishi naye sasa si mume wako! Umesema ukweli.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Kwa maana umeshakuwa na wanaume watano na mwanaume unayeishi naye sasa si mume wako! Umesema ukweli.”

Tazama sura Nakili




Yohana 4:18
16 Marejeleo ya Msalaba  

na mke, akimwacha mume wake na kuolewa na mtu mwingine, azini.


Yesu akamwambia, Enenda, kamwite mume wako uje nae hapa.


Yule mwanamke akajibu akasema, Sina mume. Yesu akamwambia, Umesema vema, Sina mume,


Yule mwanamke akamwambia, Bwana, naona ya kuwa u nabii.


Bassi wakati awapo hayi mume wake, kama akiwa na mume mwingine huitwa mzinzi. Bali mume wake akifa, amekuwa huru, hafungwi na sharia hiyo, hatta yeye si mzinzi, ajapokuwa na mume mwingine.


Ndoa iheshimiwe na watu wote, na malalo yawe safi: kwa maana waasharati na wazinzi Mungu atawahukumu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo