Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 4:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 Yesu akamwambia, Enenda, kamwite mume wako uje nae hapa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Yesu akamwambia, “Nenda ukamwite mumeo, uje naye hapa.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Yesu akamwambia, “Nenda ukamwite mumeo, uje naye hapa.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Yesu akamwambia, “Nenda ukamwite mumeo, uje naye hapa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Isa akamjibu, “Nenda ukamwite mumeo, uje naye hapa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Isa akamjibu, “Nenda ukamwite mumeo, uje naye hapa.”

Tazama sura Nakili




Yohana 4:16
9 Marejeleo ya Msalaba  

Akampeleka kwa Yesu. Yesu akamtazama, akasema, Wewe Simon, mwana wa Yona, utakwitwa Kefa (tafsiri yake, Petro).


Akamwambia marra ya tatu, Simon wa Yohana, Wanipenda mimi? Petro akahuzunika kwa kuwa alimwambia marra ya tatu, Wanipenda mimi? Akamwambia, Bwana, wewe unajua yote; unajua ya kuwa nakupenda. Yesu amwambia, Lisha kondoo zangu.


Yule mwanamke akamwambia, Bwana, nipe maji hayo, nisione kiu wala nisije huku kuteka.


Yule mwanamke akajibu akasema, Sina mume. Yesu akamwambia, Umesema vema, Sina mume,


kwa maana umekuwa na waume watano, na yeye uliye nae sasa siye mume wako; hapo umesema kweli.


Wala hakuna kiumbe kisicho wazi mbele zake, lakini vitu vyote vi utupu, na kufunuliwa machoni pake aliye na mambo yetu.


nami nitawaua watoto wake kwa manti. Na makanisa yote watajua ya kuwa mimi ndiye achunguzae viuno na mioyo. Nami nitampa killa mmoja wenu kwa kadiri ya matendo yenu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo