Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 3:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

8 Upepo huenda utakako, na sauti yake waisikia, lakini hujui unakotoka wala unakokwenda; kadhalika na killa mtu aliyezaliwa kwa Roho.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Upepo huvuma kuelekea upendako; waisikia sauti yake, lakini hujui unakotoka wala unakokwenda. Ndivyo ilivyo kwa mtu aliyezaliwa kwa Roho.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Upepo huvuma kuelekea upendako; waisikia sauti yake, lakini hujui unakotoka wala unakokwenda. Ndivyo ilivyo kwa mtu aliyezaliwa kwa Roho.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Upepo huvuma kuelekea upendako; waisikia sauti yake, lakini hujui unakotoka wala unakokwenda. Ndivyo ilivyo kwa mtu aliyezaliwa kwa Roho.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Upepo huvuma kokote unakopenda. Mvumo wake unausikia lakini huwezi ukafahamu unakotoka wala unakoenda. Ndivyo ilivyo kwa kila mtu aliyezaliwa na Roho.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Upepo huvuma popote upendapo. Mvumo wake unausikia lakini huwezi ukafahamu utokako wala uendako. Ndivyo ilivyo kwa kila mtu aliyezaliwa na Roho.”

Tazama sura Nakili




Yohana 3:8
21 Marejeleo ya Msalaba  

waliozaliwa, si kwa damu, wala si kwa mapenzi ya mwili, wala si kwa mapenzi ya mtu, bali kwa Mungu.


Usitaajahu kwa kuwa nilikuambia, Hamna buddi kuzaliwa marra ya pili.


Nikodemo akajibu, akamwambia, Yawezaje kuwa haya?


Kukaja ghafula toka mbinguni uvumi kama uvumi wa upepo wa nguvu ukienda kassi, ukaijaza nyumba yote walipokuwa wameketi.


Hatta walipokwisha kumwomba Mungu, pahali paie walipokusanyika pakatikiswa, wote wakajaa Roho Mtakatifu, wakanena neno la Mungu kwa uthabiti.


lakini kazi hizi zote huzitenda Roho huyo mmoja, yule yule, akimgawia killa mmoja peke yake kama apendavyo yeye.


Maana ni nani ayajuae mambo ya bin Adamu illa roho ya bin Adamu iliyo ndani yake? Na vivyo hivyo mambo ya Mungu hakuna ayajuae illa Roho ya Mungu.


Kama mkijua ya kuwa yeye ni mwenye haki, jueni ya kuwa killa atendae haki amezaliwa nae.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo