Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 3:30 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

30 Yeye hana buddi kuzidi, bali mimi kupungua.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

30 Ni lazima yeye azidi kuwa maarufu, na mimi nipungue.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 Ni lazima yeye azidi kuwa maarufu, na mimi nipungue.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 Ni lazima yeye azidi kuwa maarufu, na mimi nipungue.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

30 Yeye hana budi kuwa mkuu zaidi na mimi nizidi kupungua.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

30 Yeye hana budi kuwa mkuu zaidi na mimi nizidi kuwa mdogo.”

Tazama sura Nakili




Yohana 3:30
15 Marejeleo ya Msalaba  

Aliye nae bibi arusi ndiye bwana arusi; lakini rafiki yake bwana arusi anaesimama na kumsikia, aifurahia sana sauti yake bwana arusi: bassi hii furaha yangu imetimia.


Ajae kutoka juu huyu yu juu ya yote: aliye wa dunia, asili yake ni ya dunia, na anena mambo ya dunia: yeye ajae kutoka mbinguni yu juu ya yote.


Bassi Apollo ni nani? na Paolo ni nani? Ni wakhudumu ambao kwao mliamini; na killa mtu kama Bwana alivyompa.


Nae ni kichwa cha mwili, yaani cha kanisa; nae ni mwanzo, ni mzaliwa wa kwanza katika wafu, illi awe mtangulizi katika yote.


Malaika wa saha akapiga baragumu, pakawa sauti kuu katika mbingu, zikisema, Falme za dunia zimekwisha kuwa ufalme na Mungu na wa Kristo wake, nae atamiliki hatta milele na milele.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo