Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 3:29 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

29 Aliye nae bibi arusi ndiye bwana arusi; lakini rafiki yake bwana arusi anaesimama na kumsikia, aifurahia sana sauti yake bwana arusi: bassi hii furaha yangu imetimia.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 Bibi arusi ni wake bwana arusi, lakini rafiki yake bwana arusi, anayesimama na kusikiliza, hufurahi sana anapomsikia bwana arusi akisema. Ndivyo furaha yangu ilivyokamilishwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 Bibi arusi ni wake bwana arusi, lakini rafiki yake bwana arusi, anayesimama na kusikiliza, hufurahi sana anapomsikia bwana arusi akisema. Ndivyo furaha yangu ilivyokamilishwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 Bibi arusi ni wake bwana arusi, lakini rafiki yake bwana arusi, anayesimama na kusikiliza, hufurahi sana anapomsikia bwana arusi akisema. Ndivyo furaha yangu ilivyokamilishwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 Bibi arusi ni wa bwana arusi. Lakini rafiki yake bwana arusi anayesimama karibu naye na kusikiliza kutoka kwake, hufurahi sana aisikiapo sauti ya bwana arusi. Kwa sababu hii furaha yangu imekamilika.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 Bibi arusi ni wa bwana arusi. Lakini rafiki yake bwana arusi anayesimama karibu naye na kusikiliza kutoka kwake, hufurahi sana aisikiapo sauti ya bwana arusi. Kwa sababu hii furaha yangu imekamilika.

Tazama sura Nakili

Yohana 3:29
27 Marejeleo ya Msalaba  

Ufalme wa mbinguni umefanana na mfalme mmoja aliyemfanyia mwana wake arusi.

NDIPO ufalme wa mbinguni utakapofanana na wanawali kumi, waliotwaa taa zao, wakatoka kwenda kumlaki bwana arusi.

Yesu akawaambia, Wana wa arusi wawezaje kuomboleza, maadam Bwana arusi yupo pamoja nao? Lakini siku zitakuja atakapoondolewa bwana arusi; udipo watakapofunga.

Nae akija kwake huwaila rafiki zake na jirani zake, huwaambia, Furahini pamoja nami, kwa maana nimemwona kondoo wangu aliyepotea.

Haya nimewaambieni, illi furaha yangu iwe ndani yenu, na furaha yenu itimizwe.

Mpaka leo hamkuomba neno kwa jina langu; ombeni, na mtapata, furaha yenu iwe timilifu.

Na sasa naja kwako; na haya nayasema ulimwenguni, illi wawe na furaha yangu imetimizwa ndani yao.

Yeye hana buddi kuzidi, bali mimi kupungua.

Maana nawaonea wivu, wivu wa Mungu; maana naliwaposea mume mmoja, nimletee Kristo bikira safi.

ijalizeni furaha yangu, illi mwe na nia moja, wenye mapenzi mamoja, wenye roho moja, mkinia mamoja.

Na haya twawaandikieni, illi furaha yenu itimizwe.

Kwa kuwa nina maneno mengi ya kuwa-andikia, sitaki kuyaandika kwa karatasi na wino; lakini nataraja kuja kwenu, na kusema nanyi mdo-mo kwa mdomo, illi furaha yenu itimizwe.

Akaja mmoja wa wale malaika saba walio na vichupa vile saba vijaavyo yale mapigo saba ya mwisho, akanena nami, akisema, Njoo huku, nami nitakuonyesha yule Bibi arusi, mke wa Mwana kondoo.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo