Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 3:28 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

28 Ninyi wenyewe mwanishuhudia ya kwamba nalisema, Mimi siye Kristo, bali nimetumwa mbele yake.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Nanyi wenyewe mwaweza kushuhudia kuwa nilisema: ‘Mimi siye Kristo, lakini nimetumwa ili nimtangulie!’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Nanyi wenyewe mwaweza kushuhudia kuwa nilisema: ‘Mimi siye Kristo, lakini nimetumwa ili nimtangulie!’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Nanyi wenyewe mwaweza kushuhudia kuwa nilisema: ‘Mimi siye Kristo, lakini nimetumwa ili nimtangulie!’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 Ninyi wenyewe ni mashahidi wangu kwamba nilisema, ‘Mimi si Al-Masihi, ila nimetumwa nimtangulie.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 Ninyi wenyewe ni mashahidi wangu kwamba nilisema, ‘Mimi si Al-Masihi, ila nimetumwa nimtangulie.’

Tazama sura Nakili

Yohana 3:28
12 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa sababu huyo ndiye aliyenenwa na nabii Isaya, akisema, Sauti yake apigae mbin jangwani, Itengenezeni njia ya Bwana, Nyosheni mapito yake.

Na wewe nawe, Mtoto, utakwitwa nabii wake Aliye juu: Kwa maana utatangulia mbele ya uso wake Bwana ufanyize njia zake;

Nae aliungama wala hakukana; aliungama, Mimi siye Kristo.

Akasema, Mimi ni sauti ya mtu apaazae sauti jangwani, Inyosheni njia ya Bwana! kama alivyonena nabii Isaya.

Wakamwuliza, wakimwambia, Mbona bassi wabatiza, kama wewe si Kristo, wala Eliya, wala nabii yule?

Ndiye ajae nyuma yangu, aliyekuwa mbele yangu, wala mimi sistahili niilegeze gidam ya kiatu chake.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo