Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 3:23 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

23 Yohana nae alikuwa akibatiza huko Ainon, karibu na Salim, kwa sababu palikuwa na maji tele; watu wakamwendea wakabatizwa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Yohane pia alikuwa akibatiza watu huko Ainoni, karibu na Salemu, maana huko kulikuwa na maji mengi. Watu walimwendea, naye akawabatiza.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Yohane pia alikuwa akibatiza watu huko Ainoni, karibu na Salemu, maana huko kulikuwa na maji mengi. Watu walimwendea, naye akawabatiza.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Yohane pia alikuwa akibatiza watu huko Ainoni, karibu na Salemu, maana huko kulikuwa na maji mengi. Watu walimwendea, naye akawabatiza.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Yahya naye alikuwa akibatiza watu huko Ainoni karibu na Salimu, kwa sababu huko kulikuwa na maji mengi. Watu wakamjia huko ili kubatizwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Yahya naye alikuwa akibatiza huko Ainoni karibu na Salimu kwa sababu huko kulikuwa na maji tele. Watu wazima wakamjia huko ili kubatizwa.

Tazama sura Nakili




Yohana 3:23
13 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi akawaambia makutano waliotokea illi kubatizwa nae, Enyi uzao wa nyoka, ni nani aliyewaonya kuikimbia ghadhabu itakayokuja?


Baada ya haya Yesu na wanafunzi wake walikwenda hatta inchi ya Kiyahudi; akashinda huko pamoja nao, akibatiza.


Maana Yohana alikuwa hajatiwa gerezani.


na miguu yake kama shaba iliyosuguliwa sana, kana kwamba imesafishwa katika tanuru; na sauti yake kama sauti ya maji mengi.


Nikasikia sauti kutoka mbinguni kama santi ya maji mengi na kama sauti ya radi kuu. Nikasikia sauti ya wapiga vinubi, wakivipiga vinubi vyao:


Nikasikia sauti kama sauti ya makutano mengi, na kama sauti ya maji mengi, na kama sauti ya radi yenye nguvu, ikisema, Halleluya; kwa kuwa Bwana Mungu Mwenyiezi amemiliki.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo