Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 3:22 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

22 Baada ya haya Yesu na wanafunzi wake walikwenda hatta inchi ya Kiyahudi; akashinda huko pamoja nao, akibatiza.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Baada ya hayo, Yesu alifika mkoani Yudea pamoja na wanafunzi wake. Alikaa huko pamoja nao kwa muda, akibatiza watu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Baada ya hayo, Yesu alifika mkoani Yudea pamoja na wanafunzi wake. Alikaa huko pamoja nao kwa muda, akibatiza watu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Baada ya hayo, Yesu alifika mkoani Yudea pamoja na wanafunzi wake. Alikaa huko pamoja nao kwa muda, akibatiza watu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Baada ya haya, Isa na wanafunzi wake walienda katika eneo la Yudea, nao wakakaa huko kwa muda na kubatiza watu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Baada ya haya, Isa na wanafunzi wake walikwenda katika nchi ya Uyahudi, nao wakakaa huko kwa muda na kubatiza.

Tazama sura Nakili




Yohana 3:22
6 Marejeleo ya Msalaba  

Na Pasaka ya Wayahudi ilikuwa karibu: Yesu akapanda hatta Yerusalemi.


Yesu nae akaitwa pamoja na wanafunzi wake arusini.


Yohana nae alikuwa akibatiza huko Ainon, karibu na Salim, kwa sababu palikuwa na maji tele; watu wakamwendea wakabatizwa.


Wakamwendea Yohana, wakamwambia, Rabbi, yeye aliyekuwa pamoja nawe ngʼambu ya Yardani, uliyemshuhudia wewe, huyu nae anabatiza, na watu wote wanamwendea.


Bassi ndugu lake wakamwambia, Ondoka bapa uende Yahudi, wanafunzi wako nao wapate kuzitazama kazi zako unazozifanya.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo