Yohana 3:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192120 Maana killa atendae manyonge huichukia nuru, wala haji kwenye nuru, matendo yake yasikemewe; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Kila mtu atendaye maovu anauchukia mwanga, wala haji kwenye mwanga, maana hapendi matendo yake maovu yamulikwe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Kila mtu atendaye maovu anauchukia mwanga, wala haji kwenye mwanga, maana hapendi matendo yake maovu yamulikwe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Kila mtu atendaye maovu anauchukia mwanga, wala haji kwenye mwanga, maana hapendi matendo yake maovu yamulikwe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Kwa kuwa kila atendaye maovu huchukia nuru, wala haji kwenye nuru ili matendo yake maovu yasifichuliwe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Kwa kuwa kila atendaye maovu huchukia nuru, wala haji kwenye nuru ili matendo yake maovu yasifichuliwe. Tazama sura |