Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 3:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

14 Na kama Musa alivyomwinua nyoka jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana buddi kuinuliwa:

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 “Kama vile Mose alivyomwinua juu nyoka wa shaba kule jangwani, naye Mwana wa Mtu atainuliwa juu vivyo hivyo,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 “Kama vile Mose alivyomwinua juu nyoka wa shaba kule jangwani, naye Mwana wa Mtu atainuliwa juu vivyo hivyo,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 “Kama vile Mose alivyomwinua juu nyoka wa shaba kule jangwani, naye Mwana wa Mtu atainuliwa juu vivyo hivyo,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka kule jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa juu,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka kule jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa juu.

Tazama sura Nakili




Yohana 3:14
16 Marejeleo ya Msalaba  

Yatatimizwaje bassi maandiko, kwamba hivyo ndivyo vilivyopasa kuwa?


Yesu akamwambia, Mbweha wana matundu, na ndege za anga vituo; bali Mwana wa Adamu hana pa kulaza kichwa chake.


na jinsi makuhani wakuu na wakubwa wetu walivyomtoa kwa hukumu ya kufa, wakamsulibisha;


illi neno lake Yesu litimizwe, alilolisema, akionyesha ni mauti gani atakayokufa.


Mimi ni mkate wa uzima ulioshuka kutoka mbinguni; mtu akila mkate huu, ataishi milele: na mkate nitakaotoa mimi ni nyama yangu nitakayotoa kwa ajili ya uzima wa ulimwengu.


Bassi Yesu akawaambia, Mtakapokuwa mmekwisha kumwinua Mwana wa Adamu, ndipo mtakapofahamu ya kuwa mimi ndiye, na ya kuwa sifanyi neno kwa nafsi yangu tu, illa kama Baba yangu alivyonifundisha, ndivyo nisemavyo.


mtu huyu alitwaliwa nanyi kwa shauri la Mungu lililokusudiwa, na kwa kujua kwake taugu zamani, nanyi mkamsulibisha kwa mikono mibaya, mkamwua:


Tufuate:

Matangazo


Matangazo