Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 3:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Yesu akajibu akamwambia, Je! Wewe u mwalimu katika Israeli, na haya huyafahamu?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Yesu akamjibu, “Je, wewe ni mwalimu katika Israeli na huyajui mambo haya?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Yesu akamjibu, “Je, wewe ni mwalimu katika Israeli na huyajui mambo haya?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Yesu akamjibu, “Je, wewe ni mwalimu katika Israeli na huyajui mambo haya?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Isa akamwambia, “Wewe ni mwalimu wa Waisraeli, nawe huelewi mambo haya?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Isa akamwambia, “Wewe ni mwalimu mashuhuri wa Waisraeli, nawe huelewi mambo haya?

Tazama sura Nakili




Yohana 3:10
28 Marejeleo ya Msalaba  

Wakati ule Yesu akajibu akasema, Nakushukuru, Baba, Bwana wa mbingu na inchi, kwa kuwa uliwaficha haya wenye hekima na busara, ukawafunulia wadogo:


Waacheni hawo; ni vipofu, viongozi wa vipofu. Na kipofu akimwongoza kipofu mwenzake, watatumhukia shimoni wote wawili.


Yesu akajihu, akawaamhia, Mwajidanganya, kwa kuwa hamyajui maandiko wala uweza wa Mungu.


Ikawa baada ya siku tatu, wakamwona hekaluni, ameketi kati ya waalimu, akiwasikiliza, na kuwauliza.


Hatta siku moja ya siku zile alikuwa akifundisha, na Mafarisayo na waandishi wameketi, waliokuwa wametoka katika killa kijiji cha Galilaya, na cha Yahudi, na Yerusalemi; uweza wa Bwana ulikuwa pamoja nae apate kuwaponya.


Nikodemo akajibu, akamwambia, Yawezaje kuwa haya?


Lakini mtu mmoja, Farisayo, jina lake Gamaliel, mwalimu wa torati, mwenye kuheshimiwa na watu wote, akasimama katika baraza,


Maana yeye si Myahudi aliye Myahudi kwa nje tu, wala tohara siyo ile ya nje tu katika mwili;


Maana sisi tu tohara, tumwabuduo Muugu kwa Roho, na kujisifu katika Kristo Yesu, wala hatuutumainii mwili. Walakini mimi ningeweza kuutumainia mwili.


Katika yeye mmetahiriwa kwa tohara isiyofanyika kwa mkono, kwa kuuvua mwili wa dhambi, wa nyama, kwa tohara ya Kristo;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo