Yohana 3:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19211 PALIKUWA na mtu mmoja wa Mafarisayo, jina lake Nikodemo, mkuu wa Wayahudi; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Kulikuwa na kiongozi mmoja Myahudi, wa kikundi cha Mafarisayo, jina lake Nikodemo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Kulikuwa na kiongozi mmoja Myahudi, wa kikundi cha Mafarisayo, jina lake Nikodemo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Kulikuwa na kiongozi mmoja Myahudi, wa kikundi cha Mafarisayo, jina lake Nikodemo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Basi palikuwa na mtu mmoja Farisayo, jina lake Nikodemo, mmoja wa Baraza la Wayahudi lililotawala. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Basi palikuwa na mtu mmoja Farisayo, jina lake Nikodemo, mmoja wa Baraza la Wayahudi lililotawala. Tazama sura |