Yohana 21:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19219 Bassi waliposhuka pwani, wakaona moto wa makaa huko, na kitoweo kimetiwa juu yake, na mkate. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Walipofika nchi kavu waliona moto wa makaa umewashwa na juu yake pamewekwa samaki na mkate. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Walipofika nchi kavu waliona moto wa makaa umewashwa na juu yake pamewekwa samaki na mkate. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Walipofika nchi kavu waliona moto wa makaa umewashwa na juu yake pamewekwa samaki na mkate. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Walipofika ufuoni, wakaona moto wa makaa na samaki wakiokwa juu yake, na mikate. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Walipofika ufuoni, wakaona moto wa makaa na samaki wakiokwa juu yake na mikate. Tazama sura |