Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 21:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

8 Wanafunzi wengine wakaja katika mashua (maana hawakuwa mbali ya inchi kavu, illa yapata dhiraa miateen) wakilikokota jarife lenye samaki.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Lakini wale wanafunzi wengine walikuja pwani kwa mashua huku wanauvuta wavu uliojaa samaki; hawakuwa mbali na nchi kavu, ila walikuwa yapata mita mia kutoka ukingoni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Lakini wale wanafunzi wengine walikuja pwani kwa mashua huku wanauvuta wavu uliojaa samaki; hawakuwa mbali na nchi kavu, ila walikuwa yapata mita mia kutoka ukingoni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Lakini wale wanafunzi wengine walikuja pwani kwa mashua huku wanauvuta wavu uliojaa samaki; hawakuwa mbali na nchi kavu, ila walikuwa yapata mita mia kutoka ukingoni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Wale wanafunzi wengine wakaja kwa ile mashua huku wakikokota ule wavu uliojaa samaki, maana hawakuwa mbali na nchi kavu, ilikuwa yapata dhiraa mia mbili.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Wale wanafunzi wengine wakaja kwa ile mashua huku wakikokota ule wavu uliyojaa samaki, maana hawakuwa mbali na nchi kavu, ilikuwa yapata dhiraa 200

Tazama sura Nakili

Yohana 21:8
4 Marejeleo ya Msalaba  

Walikuwa na visamaki vichache; akavibariki, akasema, na hivi waviandae.

Bassi mwanafunzi yule ambae Yesu alimpenda akamwambia Petro, Ndiye Bwana. Bassi Simon Petro, aliposikia ya kwamba ni Bwana, akajifunga vazi lake (maana alikuwa uchi), akajitupa baharini.

Bassi waliposhuka pwani, wakaona moto wa makaa huko, na kitoweo kimetiwa juu yake, na mkate.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo