Yohana 21:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19214 Hatta assubuhi kulipokucha, Yesu akasimama ufukoni, walakini wanafunzi hawakujua ya kuwa ni Yesu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Kulipoanza kupambazuka, Yesu alisimama kando ya ziwa, lakini wanafunzi hawakujua kwamba alikuwa ni yeye. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Kulipoanza kupambazuka, Yesu alisimama kando ya ziwa, lakini wanafunzi hawakujua kwamba alikuwa ni yeye. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Kulipoanza kupambazuka, Yesu alisimama kando ya ziwa, lakini wanafunzi hawakujua kwamba alikuwa ni yeye. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Mara baada ya kupambazuka, Isa akasimama ufuoni, lakini wanafunzi hawakumtambua kwamba alikuwa Isa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Mara baada ya kupambazuka, Isa akasimama ufuoni, lakini wanafunzi hawakumtambua kwamba alikuwa Isa. Tazama sura |