Yohana 21:3 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19213 Simon Petro akawaambia, Ninakwenda kuvua samaki. Wakamwambia, Na sisi tutakwenda pamoja nawe. Wakatoka, wakapanda chomboni; na usiku ule hawakupata kitu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Simoni Petro aliwaambia, “Nakwenda kuvua samaki.” Nao wakamwambia, “Nasi tutafuatana nawe.” Basi, wakaenda, wakapanda mashua, lakini usiku huo hawakupata chochote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Simoni Petro aliwaambia, “Nakwenda kuvua samaki.” Nao wakamwambia, “Nasi tutafuatana nawe.” Basi, wakaenda, wakapanda mashua, lakini usiku huo hawakupata chochote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Simoni Petro aliwaambia, “Nakwenda kuvua samaki.” Nao wakamwambia, “Nasi tutafuatana nawe.” Basi, wakaenda, wakapanda mashua, lakini usiku huo hawakupata chochote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Simoni Petro akawaambia wenzake, “Mimi naenda kuvua samaki.” Nao wakamwambia, “Tutaenda pamoja nawe.” Wakatoka, wakaingia ndani ya mashua, lakini usiku ule hawakupata chochote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Simoni Petro akawaambia wenzake, “Mimi naenda kuvua samaki.” Nao wakamwambia, “Tutakwenda pamoja nawe.” Wakatoka, wakaingia ndani ya mashua, lakini usiku ule hawakupata chochote. Tazama sura |