Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 21:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

21 Petro akimwona huyu, akamwambia Yesu, Bwana, na huyu je?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Basi, Petro alipomwona huyo, akamwuliza Yesu, “Bwana, na huyu je?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Basi, Petro alipomwona huyo, akamwuliza Yesu, “Bwana, na huyu je?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Basi, Petro alipomwona huyo, akamwuliza Yesu, “Bwana, na huyu je?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Petro alipomwona huyo mwanafunzi, akamuuliza Isa, “Bwana, na huyu je?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Petro alipomwona huyo mwanafunzi, akamuuliza Isa, “Bwana, na huyu je?”

Tazama sura Nakili

Yohana 21:21
5 Marejeleo ya Msalaba  

Na Petro akigeuka, akamwona mwanafunzi yule aliyependwa na Yesu akifuata; yeye ndiye aliyeegamia kifuani pake wakati wa kula chakula cha jioni na kusema, Bwana yu nani akusalitiye?

Yesu akamwambia, Nikitaka huyu akae hatta nijapo imekukhusu nini? wewe unifuate mimi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo