Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 21:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 Yesu akaenda akautwaa mkate, akawapa, na kitoweo vivyo hivyo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Yesu akaja, akatwaa mkate, akawapa; akafanya vivyo hivyo na wale samaki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Yesu akaja, akatwaa mkate, akawapa; akafanya vivyo hivyo na wale samaki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Yesu akaja, akatwaa mkate, akawapa; akafanya vivyo hivyo na wale samaki.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Isa akaja, akachukua ule mkate, akawapa, na vivyo hivyo akawagawia wale samaki.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Basi Isa akaja, akachukua ule mkate, akawapa na vivyo hivyo akawagawia pia wale samaki.

Tazama sura Nakili




Yohana 21:13
6 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akawaambia, Leteni hapa baadhi ya samaki mlizozivua sasa hivi.


Bassi waliposhuka pwani, wakaona moto wa makaa huko, na kitoweo kimetiwa juu yake, na mkate.


Bassi Yesu akaitwaa mikate, akashukuru, akawagawia walioketi; kadhalika katika wale samaki kwa kadiri walivyotaka.


Yupo mtoto hapa, ana mikate mitano ya shayiri na samaki wawili, lakini haya nini kwa watu wengi kama hivi?


si kwa watu wote, bali kwa mashahidi waliokuwa wamekwisha kuchaguliwa na Mungu, ndio sisi, tuliokula na kunywa pamoja nae baada ya kufufuka kwake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo