Yohana 21:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192111 Bassi Simon Petro akapanda chomboni, akalivuta jarife pwani, limejaa samaki kubwa, mia na khamsini na tatu: na ijapokuwa zilikuwa nyingi namna hii, jarife halikupasuka. Yesu akawaambia, Njoni mle. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Basi, Simoni Petro akapanda mashuani, akavuta hadi nchi kavu ule wavu uliokuwa umejaa samaki wakubwa 153. Na ingawa walikuwa wengi hivyo, wavu haukukatika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Basi, Simoni Petro akapanda mashuani, akavuta hadi nchi kavu ule wavu uliokuwa umejaa samaki wakubwa 153. Na ingawa walikuwa wengi hivyo, wavu haukukatika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Basi, Simoni Petro akapanda mashuani, akavuta hadi nchi kavu ule wavu uliokuwa umejaa samaki wakubwa 153. Na ingawa walikuwa wengi hivyo, wavu haukukatika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Simoni Petro akapanda kwenye mashua na kuukokota ule wavu ufuoni. Ulikuwa umejaa samaki wakubwa mia moja hamsini na watatu (153). Ingawa samaki walikuwa wengi kiasi hicho, ule wavu haukuchanika. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Simoni Petro akapanda kwenye mashua na kuukokota ule wavu pwani. Ulikuwa umejaa samaki wakubwa 153. Ingawa samaki walikuwa wengi kiasi hicho, ule wavu haukuchanika. Tazama sura |