Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 21:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

1 BAADA ya haya Yesu alijionyesha tena kwa wanafunzi wake, penye bahari ya Tiberia; nae alijionyesha hivi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Baada ya hayo, Yesu aliwatokea tena wanafunzi wake kando ya ziwa Tiberia. Aliwatokea hivi:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Baada ya hayo, Yesu aliwatokea tena wanafunzi wake kando ya ziwa Tiberia. Aliwatokea hivi:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Baada ya hayo, Yesu aliwatokea tena wanafunzi wake kando ya ziwa Tiberia. Aliwatokea hivi:

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Baada ya haya Isa akawatokea tena wanafunzi wake kando ya Bahari ya Tiberia. Yeye alijionesha kwao hivi:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Baada ya haya Isa akawatokea tena wanafunzi wake kando ya Bahari ya Tiberia. Yeye alijionyesha kwao hivi:

Tazama sura Nakili




Yohana 21:1
11 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini baada ya kufufuka kwangu, nitatangulia mbele yenu kwenda Galilaya.


Na wale wanafunzi edashara wakaenda Galilaya hatta mlima ule aliowaagiza Yesu.


Shikeni njia upesi, kawaambieni wanafunzi wake, Amefufuka katika wafu; Tazama, anatangulia mbele yenu kwenda Galilaya; huko mtamwona: haya, nimewaambieni.


Baada ya haya akawatokea watu wawili miongoni mwao, ana sura nyingine; nao walikuwa wakishika njia kwenda shamba.


Baadae akaonekana na wale edashara walipokuwa wakila, akawalaumu kwa kutoamini kwao na ugumu wa mioyo yao, kwa kuwa hawakuwasadiki waliomwona alipofufuka.


Lakini enendeni zenu, mkawaambie wanafunzi wake, na Petro, ya kwamba awatangulia kwenda Galilaya: huko mtamwona, kama alivyowaambia.


Hii ndiyo marra ya tatu Yesu alionekana na wanafunzi wake baada ya kufufuka katika wafu.


BAADA ya haya Yesu alikwenda zake ngʼambu ya bahari ya Galilaya, bahari ya Tiberia.


(lakini mashua nyingine zilikuja kutoka Tiberia karibu na pahali pale walipokula mikate, wakati Bwana aiiposhukuru);


na baada ya kuteswa kwake, akawadhihirisbia ya kwamba yu hayi, kwa dalili nyingi, akiwatokea muda wa siku arubaini, na kuyanena mambo yaliyonkhusu ufalme wa Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo