Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 20:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 Kwa maana hawajalifahamu andiko bado, kwamba imempasa kufufuka.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Walikuwa bado hawajaelewa Maandiko Matakatifu yaliyosema kwamba ilikuwa lazima afufuke kutoka kwa wafu).

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Walikuwa bado hawajaelewa Maandiko Matakatifu yaliyosema kwamba ilikuwa lazima afufuke kutoka kwa wafu).

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Walikuwa bado hawajaelewa Maandiko Matakatifu yaliyosema kwamba ilikuwa lazima afufuke kutoka kwa wafu).

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 (Kwa kuwa hadi wakati huo walikuwa bado hawajaelewa kutoka Maandiko kwamba ilikuwa lazima Isa afufuke kutoka kwa wafu.)

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 (Kwa kuwa mpaka wakati huo walikuwa bado hawajaelewa kutoka Maandiko kwamba ilikuwa lazima Isa afufuke kutoka kwa wafu).

Tazama sura Nakili




Yohana 20:9
22 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akajihu, akawaamhia, Mwajidanganya, kwa kuwa hamyajui maandiko wala uweza wa Mungu.


Haikumpasa Kristo kupata mateso haya, ndipo aingie enzini mwake?


Lakini hawakulifuhamu neno lile, likawa limefichwa kwao wasipate kulitambua. Wakaogopa kumwuliza maana ya neno lile.


Bassi alipofufuliwa katika wafu, wanafunzi wake wakakumbuka ya kuwa amenena neno hili, wakaliamini lile andiko na lile neno alilolinena Yesu.


akiyafunua na kuwaeleza ya kwamba ilimpasa Kristo kuteswa, na kufufuka katika wafu; na ya kama, Yesu huyu ninaewapasha ninyi khabari zake ndiye Kristo.


Mungu akamfufua, akilegeza utungu wa mauti, kwa sababu haikuwezekana ashikwe nao.


na ya kuwa alizikwa; na ya kuwa alifufuka siku ya tatu, kama yanenavyo maandiko;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo