Yohana 20:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19218 Bassi ndipo akaingia nae mwanafunzi yule mwingine aliyekuwa wa kwanza wa kufika kaburini, akaona, akaamini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Kisha yule mwanafunzi mwingine aliyetangulia kufika kaburini, akaingia pia ndani, akaona, akaamini. ( Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Kisha yule mwanafunzi mwingine aliyetangulia kufika kaburini, akaingia pia ndani, akaona, akaamini. ( Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Kisha yule mwanafunzi mwingine aliyetangulia kufika kaburini, akaingia pia ndani, akaona, akaamini. ( Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Kisha yule mwanafunzi aliyetangulia kufika kaburini akaingia ndani, akaona, na akaamini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Kisha yule mwanafunzi aliyetangulia kufika kaburini naye akaingia ndani, akaona, akaamini. Tazama sura |