Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 20:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 na ile leso iliyokuwa kichwani pake, haikuwekwa pamoja na vitambaa, bali imekunjwa, na kuwekwa mahali pa peke yake.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 na kile kitambaa alichofungwa Yesu kichwani. Hicho kitambaa hakikuwekwa pamoja na hiyo sanda, bali kilikuwa kimekunjwa na kuwekwa mahali peke yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 na kile kitambaa alichofungwa Yesu kichwani. Hicho kitambaa hakikuwekwa pamoja na hiyo sanda, bali kilikuwa kimekunjwa na kuwekwa mahali peke yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 na kile kitambaa alichofungwa Yesu kichwani. Hicho kitambaa hakikuwekwa pamoja na hiyo sanda, bali kilikuwa kimekunjwa na kuwekwa mahali peke yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 na kile kitambaa kilichokuwa kichwani mwa Isa. Kitambaa hicho kilikuwa kimekunjwa peke yake, mbali na vile vitambaa vya kitani vya ile sanda.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 na kile kitambaa kilichokuwa kichwani mwa Isa. Kitambaa hicho kilikuwa kimekunjwa mahali pa peke yake, mbali na vile vitambaa vya kitani vya ile sanda.

Tazama sura Nakili

Yohana 20:7
4 Marejeleo ya Msalaba  

Akaja mwingine akasema, Bwana, tazama, mane yako hii niliyokuwa nayo, imewekwa akiba katika leso:

Akatoka nje yule aliyekufa, amefungwa saanda miguuni na mikononi, na uso wake umefungwa kitambaa. Yesu akawaambia, Mfungueni, kamwacheni aende zake.

Bassi wakautwaa mwili wa Yesu, wakaufunga saanda ya bafta, pamoja na yale manukato, kama ilivyo desturi ya Wayahudi katika kuzika.

Bassi akaja na Simon Petro, akimfuata, akaingia kaburini; akavitazama vitambaa vimewekwa,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo