Yohana 20:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19216 Bassi akaja na Simon Petro, akimfuata, akaingia kaburini; akavitazama vitambaa vimewekwa, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Simoni Petro naye akaja akimfuata, akaingia kaburini; humo akaona sanda, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Simoni Petro naye akaja akimfuata, akaingia kaburini; humo akaona sanda, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Simoni Petro naye akaja akimfuata, akaingia kaburini; humo akaona sanda, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Ndipo Simoni Petro akaja akimfuata nyuma, akaingia ndani ya kaburi. Naye akaona vile vitambaa vya ile sanda vikiwa pale chini, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Ndipo Simoni Petro akaja, akimfuata nyuma akaenda moja kwa moja hadi ndani ya kaburi. Naye akaona vile vitambaa vya ile sanda vikiwa pale chini Tazama sura |