Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 20:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 akainama, akaviona vitambaa vimewekwa; illakini hakuingia.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Alipoinama na kuchungulia ndani, aliona sanda, lakini hakuingia ndani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Alipoinama na kuchungulia ndani, aliona sanda, lakini hakuingia ndani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Alipoinama na kuchungulia ndani, aliona sanda, lakini hakuingia ndani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Akainama na kuchungulia mle kaburini, akaona vile vitambaa vya kitani, lakini hakuingia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Alipofika, akainama na kuchungulia mle kaburini, akaona vile vitambaa vya kitani mle ndani, lakini hakuingia.

Tazama sura Nakili




Yohana 20:5
5 Marejeleo ya Msalaba  

Akatoka nje yule aliyekufa, amefungwa saanda miguuni na mikononi, na uso wake umefungwa kitambaa. Yesu akawaambia, Mfungueni, kamwacheni aende zake.


Bassi wakautwaa mwili wa Yesu, wakaufunga saanda ya bafta, pamoja na yale manukato, kama ilivyo desturi ya Wayahudi katika kuzika.


Lakini Mariamu alikuwa amesimama karibu na kaburi, nje yake, analia; bassi, akilia hivi, akainama, akachungulia ndani ya kaburi;


Wakaenda mbio wawili pamoja: yule mwanafunzi mwingine akaenda mbio upesi kuliko Petro, akawa wa kwanza wa kufika kaburini;


Bassi akaja na Simon Petro, akimfuata, akaingia kaburini; akavitazama vitambaa vimewekwa,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo