Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 20:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 Wakaenda mbio wawili pamoja: yule mwanafunzi mwingine akaenda mbio upesi kuliko Petro, akawa wa kwanza wa kufika kaburini;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Wote wawili walikimbia lakini yule mwanafunzi mwingine alikimbia mbio kuliko Petro, akatangulia kufika kaburini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Wote wawili walikimbia lakini yule mwanafunzi mwingine alikimbia mbio kuliko Petro, akatangulia kufika kaburini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Wote wawili walikimbia lakini yule mwanafunzi mwingine alikimbia mbio kuliko Petro, akatangulia kufika kaburini.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Wote wawili walikuwa wanakimbia, lakini yule mwanafunzi mwingine akakimbia mbio kuliko Petro, akatangulia kufika kaburini.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Wote wawili walikuwa wanakimbia, lakini yule mwanafunzi mwingine akakimbia mbio zaidi kuliko Petro, akatangulia kufika kaburini.

Tazama sura Nakili




Yohana 20:4
7 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi Petro akatoka, na mwanafunzi yule mwingine, wakashika njia kwenda kaburini.


akainama, akaviona vitambaa vimewekwa; illakini hakuingia.


Bassi ndipo akaingia nae mwanafunzi yule mwingine aliyekuwa wa kwanza wa kufika kaburini, akaona, akaamini.


Hamjui, ya kuwa washindanao kwa kupiga mbio, hupiga mbio wote, lakini apokeao tunzo ni mmoja? Pigeni mbio namna hiyo, illi mpate.


Maana, kama nia ipo, hukubaliwa kwa kadiri ya alivyo navyo mtu, si kwa kadiri ya asivyo navyo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo