Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 20:30 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

30 Bassi ziko ishara nyingine nyingi alizozifanya Yesu mbele ya wanafunzi wake, zisizoandikwa katika kitabu hiki;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

30 Yesu alifanya mbele ya wanafunzi wake ishara nyingine nyingi ambazo hazikuandikwa katika kitabu hiki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 Yesu alifanya mbele ya wanafunzi wake ishara nyingine nyingi ambazo hazikuandikwa katika kitabu hiki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 Yesu alifanya mbele ya wanafunzi wake ishara nyingine nyingi ambazo hazikuandikwa katika kitabu hiki.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

30 Isa alifanya miujiza mingine mingi mbele za wanafunzi wake, ambayo haikuandikwa katika kitabu hiki.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

30 Isa alifanya miujiza mingine mingi mbele za wanafunzi wake, ambayo haikuandikwa katika kitabu hiki.

Tazama sura Nakili

Yohana 20:30
10 Marejeleo ya Msalaba  

Mwanzo huu wa ishara Yesu alifanya Kana ya Galilaya, akauonyesha utukufu wake, wanafunzi wake wakamwamini.

Kuna na mengine mengi aliyoyafanya Yesu, nayo yakiandikwa moja moja, nadhani hatta ulimwengu wote usingetosha kwa vitabu vitakavyoandikwa. Amin.

Makutano mengi wakamfuata, kwa sababu waliziona ishara alizowafanyia wagonjwa.

Kwa kuwa yote yaliyotangulia kuandikwa yaliandikwa kutufundisha sisi, illi kwa uvumilivu na faraja ya maandiko tupate kuwa na tumaini.

Haya yaliwapata wao kwa jinsi ya mifano, yakaandikwa illi kutuonya sisi, tuliofikiliwa na miisho ya zamani.

Nimewaandikia mambo haya, illi mjue ya kuwa mna uzima wa milele, ninyi mnaoliamini Jina la Mwana wa Mungu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo