Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 20:3 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

3 Bassi Petro akatoka, na mwanafunzi yule mwingine, wakashika njia kwenda kaburini.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Petro pamoja na yule mwanafunzi mwingine wakaenda kaburini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Petro pamoja na yule mwanafunzi mwingine wakaenda kaburini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Petro pamoja na yule mwanafunzi mwingine wakaenda kaburini.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Petro na yule mwanafunzi mwingine wakaondoka mara moja kuelekea kaburini.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Petro na yule mwanafunzi mwingine wakaondoka mara kuelekea kaburini.

Tazama sura Nakili




Yohana 20:3
2 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini Petro akaondoka, akaenda mbio kaburini, akainama, akachungulia ndani, akaviona vile vitambaa vimewekwa peke yake, akarudi kwake, akistaajabu kwa yale yaliyotokea.


Wakaenda mbio wawili pamoja: yule mwanafunzi mwingine akaenda mbio upesi kuliko Petro, akawa wa kwanza wa kufika kaburini;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo