Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 20:23 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

23 Wo wote mtakaowaondolea dhambi, wameondolewa; na wo wote mtakaowafungia, wamefungiwa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Mkiwasamehe watu dhambi zao, wamesamehewa; msipowasamehe, hawasamehewi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Mkiwasamehe watu dhambi zao, wamesamehewa; msipowasamehe, hawasamehewi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Mkiwasamehe watu dhambi zao, wamesamehewa; msipowasamehe, hawasamehewi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Mkimwondolea mtu yeyote dhambi zake, zitaondolewa; na yeyote msiyemwondolea dhambi zake, hazitaondolewa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Mkimwondolea mtu yeyote dhambi zake, zitaondolewa, na yeyote msiyemwondolea dhambi zake, hazitaondolewa.”

Tazama sura Nakili




Yohana 20:23
11 Marejeleo ya Msalaba  

Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni; na lo lote utakalolifunga duniani, litafungwa mbinguni: na lo lote utakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni.


Amin, nawaambieni, Yo yote mtakayoyafunga duniani yatakuwa yamefungwa mbinguni; na yo yote mtakayoyafungua duniani yatakuwa yamefunguliwa mbinguni.


Akiisha kusema haya, akawapulizia, akawaambia, Pokeeni Roho Mtakatifu.


Huyu manabii wote humshuhudia, ya kwamba kwa jina lake killa amwaminiye atapewa ondoleo la dhambi.


Petro akawaambia, Tubuni mkabatizwe killa mmoja kwa jina lake Yesu Kristo, mpate ondoleo la dhambi, nanyi mtapokea kipawa cha Roho Mtakatifu.


Katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo, ninyi mkiwa mmekusanyika pamoja na roho yangu, pamoja na nweza wa Bwana wetu Yesu Kristo,


mmejengwa juu ya misingi ya mitume na manabii, na Kristo Yesu mwenyewe ni jiwe kuu la pembeni;


Katika hao wamo Humenayo na Iskander, ambao nimempa Shetani wafundishwe wasimtukane Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo