Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 20:22 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

22 Akiisha kusema haya, akawapulizia, akawaambia, Pokeeni Roho Mtakatifu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Alipokwisha sema hayo, akawapulizia na kuwaambia, “Pokeeni Roho Mtakatifu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Alipokwisha sema hayo, akawapulizia na kuwaambia, “Pokeeni Roho Mtakatifu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Alipokwisha sema hayo, akawapulizia na kuwaambia, “Pokeeni Roho Mtakatifu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Alipokwisha kusema haya, akawavuvia, akawaambia, “Pokeeni Roho Mtakatifu wa Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Naye alipokwisha kusema haya, akawavuvia, akawaambia, “Pokeeni Roho wa Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili




Yohana 20:22
17 Marejeleo ya Msalaba  

Na mimi nitamwomba Baba, nae atawapa Mfariji mwingine, akaae nanyi hatta milele,


Lakini ajapo Mfariji, nitakaewapelekea toka kwa Baba, Roho ya kweli atokae kwa Baba, yeye atanishuhudia.


Lakini mimi nawaambieni iliyo kweli; Yawafaa ninyi mimi niondoke: kwa maana nisipoondoka, Mfariji hatakuja kwenu; bali nikienda zangu, nitampeleka kwenu.


Bassi Yesu akawaambia marra ya pili, Amani kwenu; kama Baba alivyonipeleka, nami nawatuma ninyi.


Wo wote mtakaowaondolea dhambi, wameondolewa; na wo wote mtakaowafungia, wamefungiwa.


Neno hili alilisema katika khabari ya Roho, ambae wale wamwaminio watampokea khalafu: kwa maana Roho Mtakatifu alikuwa bado kuwapo, kwa sababu Yesu alikuwa bado kutukuzwa.


Ndipo Petro akajibu, Aweza mtu kuwakataza hawa maji, wasibatizwe, watu waliopokea Roho Mtakatifu vile vile kama sisi?


akawauliza, Mlipokea Roho Mtakatifu mlipoamini? Wakamjibu, La, hatta kusikia kwamba kuna Roho Mtakatifu hatukusikia.


Petro akawaambia, Tubuni mkabatizwe killa mmoja kwa jina lake Yesu Kristo, mpate ondoleo la dhambi, nanyi mtapokea kipawa cha Roho Mtakatifu.


Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema kwa lugha mbalimbali, kama Roho alivyowajalia kutamka.


Ndipo Petro, akijaa Roho Mtakatifu, akawaambia,


Wakashuka, wakawaombea wrampokee Roho Mtakatifu:


Nataka kujifunza neno bili moja kwenu. Mlipokea Roho kwa matendo ya sharia, au kwa kusikia kunakotokana na imani?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo