Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 20:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

21 Bassi Yesu akawaambia marra ya pili, Amani kwenu; kama Baba alivyonipeleka, nami nawatuma ninyi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Yesu akawaambia tena, “Amani kwenu! Kama vile Baba alivyonituma mimi, nami nawatuma nyinyi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Yesu akawaambia tena, “Amani kwenu! Kama vile Baba alivyonituma mimi, nami nawatuma nyinyi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Yesu akawaambia tena, “Amani kwenu! Kama vile Baba alivyonituma mimi, nami nawatuma nyinyi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Isa akawaambia tena, “Amani iwe nanyi! Kama vile Baba alivyonituma mimi, nami nawatuma ninyi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Isa akawaambia tena, “Amani iwe nanyi! Kama vile Baba alivyonituma mimi, mimi nami nawatuma ninyi.”

Tazama sura Nakili




Yohana 20:21
20 Marejeleo ya Msalaba  

Angalieni, mimi nawatumeni kama kondoo kati ya mbwa wa mwitu: bassi mwe na busara kama nyoka, na msio na dhara kama hua.


Awapokeae ninyi, anipokea mimi; nae anipokeae mimi, ampokea yeye aliyenituma.


Walipokuwa wakisema hivyo, Yesu mwenyewe akasimama kati yao, akiwaambia, Amani kwenu.


Amin, amin, nawaambieni, Yeye ampokeae ye yote nimpelekae, anipokea mimi; nae anipokeae mimi, ampokea yeye aliyenipeleka.


Amani nawaachieni; amani yangu nawatolea; si kama ulimwengu utoavyo, mimi nawatolea. Msifadhaike moyo wenu, wala msiwe na woga.


Ikawa jioni katika siku ile ya kwanza ya sabato, na milango imefungwa walipokuwapo wanafunzi kwa khofu ya Wayahudi, akaja Yesu, akasimama katikati, akawaambia, Amani kwenu.


Akiisha kusema haya, akawapulizia, akawaambia, Pokeeni Roho Mtakatifu.


Baada ya siku nane wanafunzi wake walikuwamo ndani marra ya pili, na Tomaso pamoja nao. Yesu akaja, milango imefungwa, akasimama katikati, akasema, Amani kwenu.


Maana Mungu hakumpeleka Mwana wake ulimwenguni auhukumu ulimwengu, bali ulimwengu uokolewe nae.


hatta siku ile alipowaagiza kwa Roho Mtakatifu mitume aliowachagua, akachukuliwa juu:


Lakini mtapokea nguvu, akiisha kuwajilia Roho Mtakatifu; nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemi, na katika Yahudi yote, na Samaria, na hatta mwisho wa inchi.


Na yale uliyoyasikia kwangu kwa mashahidi wengi, uwakabidbi hayo watu waaminifu watakaofaa kuwafundisha na wengine.


KWA hiyo, ndugu watakatifu, wenye kuushiriki wito wa mbinguni, mtafakarini sana Mtume na Kuhani Mkuu wa maungamo yetu,


Lakini nataraja kukuona karibu na kusema nawe mdomo kwa mdonm.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo