Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 20:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

18 Mariamu Magdalene akaenda akawapasha wanafunzi khabari ya kwamba amemwona Bwana, na ya kwamba amemwambia haya.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Hivyo Maria Magdalene akaenda akawapasha habari wale wanafunzi kuwa amemwona Bwana, na kwamba alikuwa amemwambia hivyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Hivyo Maria Magdalene akaenda akawapasha habari wale wanafunzi kuwa amemwona Bwana, na kwamba alikuwa amemwambia hivyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Hivyo Maria Magdalene akaenda akawapasha habari wale wanafunzi kuwa amemwona Bwana, na kwamba alikuwa amemwambia hivyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Kwa hiyo Mariamu Magdalene akaenda kuwatangazia wanafunzi wa Isa, akisema, “Nimemwona Bwana!” Naye akawaambia kwamba Isa alikuwa amemweleza mambo hayo yote.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Kwa hiyo Maria Magdalene akaenda kuwatangazia wanafunzi wa Isa, akisema, “Nimemwona Bwana!” Naye akawaambia kwamba Isa alikuwa amemweleza mambo hayo yote.

Tazama sura Nakili




Yohana 20:18
7 Marejeleo ya Msalaba  

Miongoni mwao alikuwamo Mariamu Magdalene, na Mariamu mama yao Yakobo na Yose, na mama yao wana wa Zebedayo.


Yesu akawaambia, Msiogope: enendeni, mkawaambie ndugu zangu waemle Galilaya, ndiko watakakoniona.


Na hao waliowaambia mitume mambo haya ni Mariamu Magdalene, na Yoanna, na Mariamu mama yake Yakobo na wengine waliokuwa pamoja nao.


Na penye msalaba wake Yesu wamesimama mama yake, na ndugu ya mama yake, Mariamu wa Klopa, na Mariamu Magdalene.


HATTA siku ya kwanza ya sabato Mariamu Magdalene akaenda kaburini alfajiri, kungali giza bado, akaliona jiwe limeondolewa kaburini.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo