Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 20:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

14 Alipokwisha kusema haya, akageuka nyuma, akamwona Yesu amesimama, asijue ya kuwa ni Yesu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Baada ya kusema hayo, aligeuka nyuma, akamwona Yesu amesimama hapo, lakini asitambue ya kuwa ni Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Baada ya kusema hayo, aligeuka nyuma, akamwona Yesu amesimama hapo, lakini asitambue ya kuwa ni Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Baada ya kusema hayo, aligeuka nyuma, akamwona Yesu amesimama hapo, lakini asitambue ya kuwa ni Yesu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Baada ya kusema hayo, akageuka, akamwona Isa amesimama, lakini hakumtambua.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Baada ya kusema hayo, akageuka, akamwona Isa amesimama, lakini hakumtambua.

Tazama sura Nakili

Yohana 20:14
10 Marejeleo ya Msalaba  

Nao walipokuwa wakienda kuwapasha wanafunzi wake khabari, Yesu akakutana nao, akinena, Salam! Wakakaribia wakamshika miguu, wakamsujudia.

Baada ya haya akawatokea watu wawili miongoni mwao, ana sura nyingine; nao walikuwa wakishika njia kwenda shamba.

Alipofufuka Yesu assubuhi siku ya kwanza ya sabato alimtokea kwanza Mariamu Magdalene, ambae kwamba alimtoa pepo saba.

Macho yao yakafumbwa, wasipate kumtambua.

Yakafumbuliwa macho yao, wakamtambua, akatoweka asionekane nao.

lakini yeye akapita katikati yao akaenda zake.

Hatta assubuhi kulipokucha, Yesu akasimama ufukoni, walakini wanafunzi hawakujua ya kuwa ni Yesu.

Bassi wakatwaa mawe wamtupie; lakini Yesu akajificha, akatoka hekaluni.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo