Yohana 20:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192111 Lakini Mariamu alikuwa amesimama karibu na kaburi, nje yake, analia; bassi, akilia hivi, akainama, akachungulia ndani ya kaburi; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Maria alikuwa amesimama nje ya kaburi, akilia. Huku akiwa bado analia, aliinama na kuchungulia kaburini, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Maria alikuwa amesimama nje ya kaburi, akilia. Huku akiwa bado analia, aliinama na kuchungulia kaburini, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Maria alikuwa amesimama nje ya kaburi, akilia. Huku akiwa bado analia, aliinama na kuchungulia kaburini, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Lakini Mariamu Magdalene akasimama nje ya kaburi akilia. Alipokuwa akilia, akainama kuchungulia mle kaburini, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Lakini Maria Magdalene akasimama nje ya kaburi akilia. Alipokuwa akilia, akainama, kuchungulia mle kaburini, Tazama sura |