Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 20:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Bassi wanafunzi wale wakaenda zao nyumbani kwao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Basi, hao wanafunzi wakarudi nyumbani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Basi, hao wanafunzi wakarudi nyumbani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Basi, hao wanafunzi wakarudi nyumbani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Kisha hao wanafunzi wakaondoka, wakarudi nyumbani mwao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Kisha hao wanafunzi wakaondoka wakarudi nyumbani kwao.

Tazama sura Nakili




Yohana 20:10
4 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini Petro akaondoka, akaenda mbio kaburini, akainama, akachungulia ndani, akaviona vile vitambaa vimewekwa peke yake, akarudi kwake, akistaajabu kwa yale yaliyotokea.


Saa inakuja, naam, imekwisha kuja, mtatawanyika killa mmoja kwa mambo yake, mtaniacha mimi peke yangu; wala mimi si peke yangu, kwa kuwa Baba yupo pamoja nami.


Lakini Mariamu alikuwa amesimama karibu na kaburi, nje yake, analia; bassi, akilia hivi, akainama, akachungulia ndani ya kaburi;


Wakaenda killa mtu nyumbani kwake:


Tufuate:

Matangazo


Matangazo