Yohana 2:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19219 Mkuu wa meza alipoyaonja maji yaliyofanyika kuwa divai, asijue ilikotoka, (lakini watumishi walijua walioyateka maji), mkuu wa meza akamwita bwana arusi, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Mkuu wa karamu alipoonja hayo maji, kumbe yalikuwa yamegeuka kuwa divai. Yeye hakujua ilikotoka, (lakini wale watumishi waliochota maji walijua). Mkuu wa karamu akamwita bwana arusi, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Mkuu wa karamu alipoonja hayo maji, kumbe yalikuwa yamegeuka kuwa divai. Yeye hakujua ilikotoka, (lakini wale watumishi waliochota maji walijua). Mkuu wa karamu akamwita bwana arusi, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Mkuu wa karamu alipoonja hayo maji, kumbe yalikuwa yamegeuka kuwa divai. Yeye hakujua ilikotoka, (lakini wale watumishi waliochota maji walijua). Mkuu wa karamu akamwita bwana arusi, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Yule mkuu wa sherehe akayaonja yale maji ambayo yalikuwa yamebadilishwa kuwa divai. Hakujua divai hiyo ilikotoka ingawa wale watumishi waliochota yale maji walifahamu. Basi akamwita bwana arusi kando, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Yule mkuu wa meza akayaonja yale maji ambayo yalikuwa yamebadilika kuwa divai. Hakujua divai hiyo ilikotoka ingawa wale watumishi waliochota yale maji wao walifahamu. Basi akamwita bwana arusi kando Tazama sura |