Yohana 2:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19218 Akawaambia, Sasa tekeni, mpelekeeni mkuu wa meza. Wakapeleka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Kisha akawaambia, “Sasa choteni mkampelekee mkuu wa karamu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Kisha akawaambia, “Sasa choteni mkampelekee mkuu wa karamu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Kisha akawaambia, “Sasa choteni mkampelekee mkuu wa karamu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Kisha akawaambia, “Sasa choteni hayo maji kidogo; mpelekeeni mkuu wa sherehe.” Hivyo wakachota, wakampelekea. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Kisha akawaambia, “Sasa choteni hayo maji kidogo, mpelekeeni mkuu wa meza.” Hivyo wakachota, wakampelekea. Tazama sura |