Yohana 2:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19217 Yesu akawaambia, Jalizeni mabalasi maji. Wakayajaliza hatta juu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Yesu akawaambia, “Ijazeni mitungi hiyo maji.” Nao wakaijaza mpaka juu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Yesu akawaambia, “Ijazeni mitungi hiyo maji.” Nao wakaijaza mpaka juu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Yesu akawaambia, “Ijazeni mitungi hiyo maji.” Nao wakaijaza mpaka juu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Isa akawaambia wale watumishi, “Ijazeni hiyo mitungi maji.” Nao wakaijaza ile mitungi hadi juu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Isa akawaambia wale watumishi, “Ijazeni hiyo mitungi maji.” Nao wakaijaza ile mitungi mpaka juu. Tazama sura |