Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 2:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

6 Palikuwako mabalasi sita ya mawe, yamewekwa huko kwa desturi ya kutawaza kwao Wayahudi, killa moja lapata kadiri ya nzio mbili au tatu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Hapo palikuwa na mitungi sita ya mawe, ambayo kila mmoja uliweza kuchukua kiasi cha madebe mawili au matatu. Ilikuwa imewekwa hapo kufuatana na desturi ya Kiyahudi ya kutawadha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Hapo palikuwa na mitungi sita ya mawe, ambayo kila mmoja uliweza kuchukua kiasi cha madebe mawili au matatu. Ilikuwa imewekwa hapo kufuatana na desturi ya Kiyahudi ya kutawadha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Hapo palikuwa na mitungi sita ya mawe, ambayo kila mmoja uliweza kuchukua kiasi cha madebe mawili au matatu. Ilikuwa imewekwa hapo kufuatana na desturi ya Kiyahudi ya kutawadha.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Basi hapo palikuwa na mitungi sita iliyotengenezwa kwa mawe; iliwekwa hapo kwa ajili ya desturi ya Kiyahudi ya kujitakasa; kila mtungi ungeweza kuchukua vipipa viwili au vitatu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Basi ilikuwepo mitungi sita ya kuhifadhia maji iliyotengenezwa kwa mawe kwa ajili ya kujitakasa kwa desturi ya Kiyahudi; kila mtungi ungeweza kuchukua vipipa viwili au vitatu.

Tazama sura Nakili




Yohana 2:6
9 Marejeleo ya Msalaba  

Akasema, Tanaki mia za mafuta. Akamwambia, Twaa khati yako; haya, kaa kitako, andika khamsini.


Yesu akawaambia, Jalizeni mabalasi maji. Wakayajaliza hatta juu.


Bassi palitokea mashindano ya wanafunzi wa Yohana na Wayahudi katika khabari ya utakaso.


kusudi alitakase na kulisafisha kwa maji, na kwa Neno;


tukaribie wenye moyo wa kweli, kwa utimilifu wa imani, tumenyunyiziwa mioyo tuache dhamiri mbaya, tumeoshwa mwili kwa maji safi.


na mafundisbo ya mabatizo, na kuwekea mikono, na kufufuliwa wafu, na hukumu ya milele.


kwa kuwa ni sharia za jinsi ya mwili tu, vyakula na vinywaji na kutawadha kwingine kwingine, zilizoamriwa hatta wakati wa matengenezo mapya.


Maana killa amri ilipokwisha kunenwa na Musa kwa watu wote, kama ilivyoamuru sharia, aliitwaa damu ya ndama na ya mbuzi pamoja na maji na sufu nyekundu na husopo, akakinyunyizia kitabu chenyewe, na watu wote,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo