Yohana 2:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19215 Mama yake akawaambia watumishi, Lo lote atakalowaambieni fanyeni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Hapo mama yake akawaambia watumishi, “Lolote atakalowaambieni, fanyeni.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Hapo mama yake akawaambia watumishi, “Lolote atakalowaambieni, fanyeni.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Hapo mama yake akawaambia watumishi, “Lolote atakalowaambieni, fanyeni.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Mama yake akawaambia wale watumishi, “Fanyeni lolote atakalowaambia.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Mama yake akawaambia wale watumishi, “Lolote atakalowaambia, fanyeni.” Tazama sura |