Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 2:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

20 Bassi Wayahudi wakasema, Hekalu hii ilijengwa katika muda wa miaka arubaini na sita, nawe utaisimamisha kwa siku tatu?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Hapo Wayahudi wakasema, “Hekalu hili lilijengwa kwa muda wa miaka arubaini na sita. Je, wewe utalijenga kwa siku tatu?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Hapo Wayahudi wakasema, “Hekalu hili lilijengwa kwa muda wa miaka arubaini na sita. Je, wewe utalijenga kwa siku tatu?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Hapo Wayahudi wakasema, “Hekalu hili lilijengwa kwa muda wa miaka arubaini na sita. Je, wewe utalijenga kwa siku tatu?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Wale Wayahudi wakamjibu, “Hekalu hili lilijengwa kwa muda wa miaka arobaini na sita, nawe wasema utalijenga kwa siku tatu?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Wale Wayahudi wakamjibu, “Hekalu hili lilijengwa kwa muda wa miaka arobaini na sita, nawe wasema utalijenga kwa siku tatu?”

Tazama sura Nakili

Yohana 2:20
6 Marejeleo ya Msalaba  

YESU akaenda zake, akatoka hekaluni; wanafunzi wake wakamwendea illi kumwonyesha majengo ya hekalu.

Hatta watu kadha wa kadha walipokuwa wakinena khabari za hekalu, ya kama lilipambwa kwa mawe mazuri, na sadaka za watu, akasema,

Na huu ndio ushuhuda wake Yohana, Wayahudi walipotuma makuhani na Walawi toka Yerusalemi wamwulize, Wewe u nani?

na ya kuwa alizikwa; na ya kuwa alifufuka siku ya tatu, kama yanenavyo maandiko;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo