Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 2:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 Na Pasaka ya Wayahudi ilikuwa karibu: Yesu akapanda hatta Yerusalemi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Sikukuu ya Wayahudi ya Pasaka ilikuwa imekaribia; hivyo Yesu akaenda juu Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Sikukuu ya Wayahudi ya Pasaka ilikuwa imekaribia; hivyo Yesu akaenda juu Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Sikukuu ya Wayahudi ya Pasaka ilikuwa imekaribia; hivyo Yesu akaenda juu Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Ilipokaribia wakati wa Pasaka ya Wayahudi, Isa alipanda kwenda Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Ilipokaribia wakati wa Pasaka ya Wayahudi, Isa alipanda kwenda Yerusalemu.

Tazama sura Nakili




Yohana 2:13
14 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akaingia ndani ya hekalu la Mungu, akawafukuza wote waliokuwa wakiuza na kununua hekaluni, akazipindua meza za wabadili fedha, na viti vyao waliokuwa wakiuza njiwa;


Wakafika Yerusalemi, Yesu akaingia ndani ya hekalu, akaanza kuwafukuza watu waliokuwa wakiuza na kununua ndani ya hekalu, akazipindua meza za wabadilio fedha, na viti vyao wauzao njiwa;


Akaingia hekaluni, akaanza kuwatoa wakuzao na wanunuao ndani yake; akiwaambia,


Bassi wazee wake, killa mwaka walikuwa wakienda Yerusalemi siku kuu ya Pasaka.


Na Pasaka ya Wayahudi ilikuwa karibu; wengi wakapanda toka inchi yote pia kwenda Yerusalemi kabla ya Pasaka, illi wajitakase.


HATTA kabla ya siku kuu ya Pasaka, Yesu akijua ya kuwa saa yake imefika atakayotoka katika ulimwengu huu kwenda kwa Baba, akiwa aliwapenda watu wake katika ulimwengu, aliwapeuda ukomo wa upendo.


Hatta alipokuwapo Yerusalemi wakati wa Pasaka katika siku kuu, watu wengi wakaliamini jina lake, wakiona ishara zake alizozifanya.


BAADA ya haya palikuwa na siku kuu ya Wayahudi; Yesu akapanda kwenda Yerusalemi.


Na Pasaka, siku kuu ya Wayahudi, ilikuwa karibu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo