Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 2:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 akamwambia, Killa mtu kwanza huandaa divai iliyo njema, hatta watu wakiisha kunywa sana, ndipo huleta iliyo dhaifu: wewe umeweka divai iliyo njema hatta sasa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 akamwambia, “Kila mtu huandaa divai nzuri kwanza hata wakisha tosheka huandaa ile hafifu. Lakini wewe umeiweka divai nzuri mpaka sasa!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 akamwambia, “Kila mtu huandaa divai nzuri kwanza hata wakisha tosheka huandaa ile hafifu. Lakini wewe umeiweka divai nzuri mpaka sasa!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 akamwambia, “Kila mtu huandaa divai nzuri kwanza hata wakisha tosheka huandaa ile hafifu. Lakini wewe umeiweka divai nzuri mpaka sasa!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 akamwambia, “Watu wote hutoa divai nzuri kwanza, kisha huleta ile divai hafifu wageni wakisha kunywa sana; lakini wewe umeiweka ile nzuri zaidi hadi sasa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 akamwambia, “Watu wote hutoa kwanza divai nzuri, kisha huleta ile divai hafifu wageni wakisha kunywa vya kutosha, lakini wewe umeiweka ile nzuri kupita zote mpaka sasa.”

Tazama sura Nakili




Yohana 2:10
15 Marejeleo ya Msalaba  

nae akianza kuwapiga wajoli wake, na kula na kunywa pamoja na walevi:


Bali mtumwa yule akisema moyoni mwake, Bwana wangu anakawia kuja; akaanza kuwapiga wajoli wake, wanaume na wanawake, na kula na kulewa;


Ibrahimu akasema, Mwanangu, kumbuka ya kuwa ulipokea mema yako katika maisha yako, na Lazaro kadhalika mabaya; lakini sasa yeye yupo hapa anafarajiwa, nawe unanmizwa.


Sivyo mnavyodhani; watu hawa hawakulewa, kwa maana ni saa tatu ya mchana;


kwa maana killa mmoja hutangulia kutwaa chakula chake katika kule kula; hatta huyu ana njaa, na huyu amelewa.


Tena msilevye kwa mvinyo, kwa kuwa haina kiasi, bali mjazwe Roho;


Maana walalao hulala usiku, na walewao hulewa usiku.


ambae wafaime wa inchi walizini nae, nao wakaao katika inchi wakalevywa kwa mvinyo ya uasharati wake.


Nikamwona yule mwanamke amelewa kwa damu ya watakatifu, na kwa damu ya mashahidi wa Yesu. Nami nilipomwona nikastaajabu ajabu kuu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo