Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 19:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 Wayahudi wakamjibu, Sisi tuna sharia, na kwa sharia hiyo amepasiwa kufa, kwa sababu alijifanya kuwa Mwana wa Mungu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Wayahudi wakamjibu, “Sisi tunayo sheria, na kufuatana na sheria hiyo, ni lazima afe, kwa sababu alijifanya kuwa Mwana wa Mungu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Wayahudi wakamjibu, “Sisi tunayo sheria, na kufuatana na sheria hiyo, ni lazima afe, kwa sababu alijifanya kuwa Mwana wa Mungu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Wayahudi wakamjibu, “Sisi tunayo sheria, na kufuatana na sheria hiyo, ni lazima afe, kwa sababu alijifanya kuwa Mwana wa Mungu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Viongozi wa Wayahudi wakamjibu, “Sisi tunayo sheria, na kutokana na sheria hiyo, hana budi kufa kwa sababu yeye alijiita Mwana wa Mungu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Wayahudi wakamjibu, “Sisi tunayo sheria na kutokana na sheria hiyo, hana budi kufa kwa sababu yeye alijiita Mwana wa Mungu.”

Tazama sura Nakili




Yohana 19:7
14 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi yule akida, aliyesimama akimwelekea, alipoona ya kuwa alikata roho jinsi hii, akasema, Hakika mtu huyu alikuwa, Mwana wa Mungu.


Bassi Pilato aliposikia neno hilo, akazidi kuogopa;


Bassi kwa sababu hii Wayahudi wakazidi kutaka kumwua, kwa kuwa hakuivunja sabato tu, bali pamoja na haya alimwita Mungu Baba yake, akijifanya sawa na Mungu.


wakisema, Mtu huyu huwavuta watu illi wamwabudu Mungu kinyume cha sharia yetu.


na kudhihirishwa kwa uweza kuwa Mwana wa Mungu, kwa jinsi ya roho ya utakatifu, kwa ufufuo; Yesu Kristo Bwana wetu,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo