Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 19:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 Bassi Yesu akatoka nje, amevaa ile taji ya miiba, na lile vazi jekundu. Pilato akawaambia, Tazama, Mtu huyu!

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Basi, Yesu akatoka nje amevaa taji ya miiba na joho la rangi ya zambarau. Pilato akawaambia, “Tazameni! Mtu mwenyewe ni huyo.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Basi, Yesu akatoka nje amevaa taji ya miiba na joho la rangi ya zambarau. Pilato akawaambia, “Tazameni! Mtu mwenyewe ni huyo.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Basi, Yesu akatoka nje amevaa taji ya miiba na joho la rangi ya zambarau. Pilato akawaambia, “Tazameni! Mtu mwenyewe ni huyo.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Kwa hiyo Isa akatoka nje akiwa amevaa lile taji la miiba na lile vazi la zambarau. Pilato akawaambia, “Tazameni, mtu ndiye huyu!”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Kwa hiyo Isa akatoka nje akiwa amevaa ile taji ya miiba na lile vazi la zambarau. Pilato akawaambia, “Tazameni, huyu hapa huyo mtu!”

Tazama sura Nakili




Yohana 19:5
8 Marejeleo ya Msalaba  

Wakasokota taji ya miiba, wakaiweka juu ya kichwa chake, na unyasi katika mkono wake wa kuume; wakapiga magoti mbele yake, wakamfanyizia dhihaka, wakinena, Salamu, Mfalme wa Wayahudi!


Siku ya pili yake Yohana amwona Yesu anakuja kwake, akanena, Tazama, Mwana Kondoo wa Mungu, aichukuae dhambi ya ulimwengu!


Askari wakasokota taji ya miiba, wakamtia kichwani, wakamvika vazi jekundu; wakawa wakimwendea,


tukimtazama Yesu, aliveianzisha imani yetu na kuitimiliza; ambae kwa ajili ya furaha iliyowekwa mbele zake aliuvumilia msalaba na kuidharau aibu, nae ameketi mkono wa kuume wa kiti cha enzi cha Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo