Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yohana 19:40 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

40 Bassi wakautwaa mwili wa Yesu, wakaufunga saanda ya bafta, pamoja na yale manukato, kama ilivyo desturi ya Wayahudi katika kuzika.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

40 Basi, waliutwaa mwili wa Yesu, wakaufunga sanda pamoja na manukato kufuatana na desturi ya Wayahudi katika kuzika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

40 Basi, waliutwaa mwili wa Yesu, wakaufunga sanda pamoja na manukato kufuatana na desturi ya Wayahudi katika kuzika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

40 Basi, waliutwaa mwili wa Yesu, wakaufunga sanda pamoja na manukato kufuatana na desturi ya Wayahudi katika kuzika.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

40 Wakauchukua mwili wa Isa, wakaufunga katika sanda ya kitani safi pamoja na yale manukato, kama ilivyokuwa desturi ya Wayahudi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

40 Wakauchukua mwili wa Isa, wakaufunga katika sanda ya kitani safi pamoja na yale manukato, kama ilivyokuwa desturi ya Wayahudi.

Tazama sura Nakili

Yohana 19:40
9 Marejeleo ya Msalaba  

Maana kwa kunimwagia mwili wangu marhamu hii, ametenda hivi illi kuniweka tayari kwa maziko yangu.

Ametenda alivyoweza; amenipaka mwili marhamu kwa ajili ya maziko yangu.

Lakini Petro akaondoka, akaenda mbio kaburini, akainama, akachungulia ndani, akaviona vile vitambaa vimewekwa peke yake, akarudi kwake, akistaajabu kwa yale yaliyotokea.

Akatoka nje yule aliyekufa, amefungwa saanda miguuni na mikononi, na uso wake umefungwa kitambaa. Yesu akawaambia, Mfungueni, kamwacheni aende zake.

Bassi Yesu alisema, Mwache, ameyaweka haya kwa siku ya maziko yangu.

Vijana wakaondoka, wakamtia katika saanda, wakamchukua nje, wakamzika.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo